Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapatia samaki chakula baada ya kutembelea moja ya mabanda ya Wizara
ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (Nanenane) katika viwanja vya John Mwakangale ijini Mbeya, ambapo ameipongeza Wizara
ya Mifugo na Uvuvi kwa namna inavyotekeleza Programu ya Kielelezo “Jenga Kesho Iliyo Bora” (BBT – LIFE) na
kuwataka vijana waliopo kwenye programu hiyo kutumia vyema fursa hiyo. (08.08.2023).