Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI) was established by the Act of Parliament No. 6 of 1980 to promote,
conduct, and co-ordinate fisheries research in Tanzania. The institute operates under the ministry of Livestok and Fisheries in both marine and fresh waters of Tanzania.
Women in Octopus Fishery
Most women in the coastal regions of Tanzania participate in artisanal fishing for octopus to sustain their livelihoods.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango wake katika pato la Taifa hadi kufikia asilimia 10 kwa mwaka kutoka asilimia 1.8 ya sasa
Mkutano wa sayansi wa kimataifa kuhusu uchumi wa buluu uliondaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania kushirikiana na Chuo kikuu cha Dar es salaam pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Zanzibar
Daktari, George Rushingisha (PhD) kutoka TAFIRI akielezea uzinduzi wa
mradi wa utafiti wa kufuatilia ongezeko la asidi bahari katika maji
yetu ya ukanda wa magharibi mwa bahari ya Hindi
Bi. Tausi Kitentya, kutoka TAFIRI sota akielezea uzalishaji wa vifaranga vya samaki kwa
kutumia teknolojia ya mabwawa ili kutoa huduma kwa wananchi wafugaji wa samaki
MATUMIZI YA SETELAITI TAFIRI kuwasaidia wavuvi wadogo na wa kati kutambua maeneo yenye viashiria vya samaki kaw
kutumia Taarifa za seteliti(Satellite data) pamoja na za mahali za kiografia (GPS)