MRISHO MPOTO ATUMBUIZA MIAKA 40 YA TAFIRI

Msanii wa Mziki wa Dansi, na Sanaa ya Jukwaani Ndg. Mrisho Mpoto akitumbuiza katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 40 ya TAFIRI yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 24-26 Oktoba 2023 katika ukumbi wa Mikutano wa APC Mbweni jijini Dar es Salaam

Post a comment