TAFIRI YASHIRIKI KUHITIMISHA KURASA 365 ZA MAMA TOLEO LA III

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (wa tatu kutoka kushoto) akiwa pamoja na Mawaziri na Viongozi wengine wakati wakifuatilia matukio mbalimbali katika tukio la kuhitimisha kurasa 365 za mama volume III linalofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Machi 27, 2024. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega.

Post a comment