TAFIRI YASHIRI WIKI YA PROTINI 2024 BUGENI DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe (wa pili kushoto) akipata huduma ya mshikaki unaotokana na mazao ya Samaki alipotembelea Mabanda ya maonesho ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ikiwemo TAFIRI kujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika kwenye Wiki ya Protini iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge Mkoa wa Dodoma Mei 14, 2024. Aliesimama kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi) Dkt Edwin Mhede na aliesimama kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI) Dkt. Ismael Kimirei. .

Post a comment