KATIBU MKUU WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA BANDA LA TAFIRI KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2024

Dar es Salaam, Julai 3, 2024 – Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Riziki Shemdoe (Kushoto), ametembelea banda la Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na kisha kusaini kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa (Saba Saba 2024) yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam.

Maonesho hayo yamefunguliwa na mgeni rasmi, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Profesa Shemdoe amepokelewa na mwenyeji wake ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa TAFIRI, Dkt. Ismael Kimirei(Kulia).

Post a comment