TAFIRI YASHIRIKI UFUNGUZI RASIMI WA MAONESHO YA SABASABA 2024

Dar es Salaam, Julai 3, 2024 – Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Dkt. Ismael Kimirei(wa tatu kutoka kulia), akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Taasisi hiyo wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa (Saba Saba 2024) yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yamefunguliwa na mgeni rasmi, Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hassan.

Post a comment