Viongozi wa TAFIRI Wakagua Shughuli za Maonesho ya Sabasaba 2024

Mkurugenzi wa Utafiti na Uratibu, Dr. Mary Kishe (wa tatu kutoka kulia) na Mkuu wa Rasilimali Watu na Utawala, Bi. Joan Ndibalema (wa tatu kutoka kushoto) kutoka TAFIRI Makao Makuu wametembelea Banda la Maonesho la TAFIRI, ili kujionea shughuli za maonesho ya Sabasaba 2024 zinazoendelea katika viwanja vya Sabasaba, Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 10 Julai 2024

Post a comment