TAFIRI YASAINI MAKUBALIANO YA MASHIRIKIANO YA KIUTAFITI NA CHINA

Picha ya pamoja Naibu katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Daniel Mushi (wa tano kutoka kushoto), Makamu wa Rais wa Chuo cha Sayansi cha China (Chinese Academy of Science – CAS), Prof. Wang Keqiang (wa tano kutoka kulia), viongozi wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na baadhi ya wageni kutoka Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kumaliza kikao cha utoaji wa taarifa ya msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya dora za kimarekani 190,000 (Tsh. 575,950,000) na utiaji saini mkataba wa kuimarisha ushirikiano katika ulinzi wa mazingira na usimamizi wa rasilimali zilizomo kwenye maji Disemba 7, 2023 kwenye Ofisi za Wizara zilizopo eneo la TAZARA Veterinari, Jijini Dar es Salaam.

Post a comment