MH. DKT. SAMIA SULUHU AGAWA BOTI ZA KISASA NA VIZIMBA VYA KUFUGIA SAMAKI ZIWA VIKTORIA

MKatibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Tanzania Bara na Wizara ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu, Zanzibar muda mfupi baada ya kumaliza kikao cha kujadili maandalizi ya mkutano wa awali wa tathimini ya mradi wa Uendelezaji wa Rasilimali za Uvuvi na Ukuzaji Viumbe Maji utakaofanyika Zanzibar, Januari 22 hadi 26, 2024. Kikao hicho cha maandalizi kimefanyika Januari 18, 2024

Post a comment